Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Rais Samia Awaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 29 Agosti, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Viongozi watakaoapishwa ni: A. Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka, kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza B. MAJAJI

1.Mhe.Kevin David Mhina, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

2.Mhe.Gabriel Pascal Malata, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

3.Mhe. Happiness Philemon Ndesamburo, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

4.Mhe. Ruth Betwel Massam, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

5.Mhe.Adrian Philbert Kilimi,Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

6.Mhe.Godfrey Mtemi Isaya Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

7.Mhe.Obadia Festo Bwegoge, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

8.Mhe.Victoria Mlonganile Nongwa, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

9.Mhe.Gladys Nancy Barth, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

10.Mhe. Fatma Rashid Khalfan,Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

11.Mhe. Asina Abdillah Omari, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

12. Mhe.Hamidu Rajabu Mwanga, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

13.Mhe. Merlyn Leonce Komba, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

14. Mhe.Monica Peter Otaru, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

15.Mhe.Kamana Stanley Kamana, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

16.Mhe. Lusungu Hemed Hongoli,Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

17.Suleiman Haji Hassan, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

18.Mhe.Mwajuma Kadilu Juma, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

19.Mhe. Dkt.Cleophace Kassenene, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

20.Mhe. Aisha Zuni Bade, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

21.Mhe. Musa Kassim Pomo, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube