Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Kinda Haaland wa miaka 22 aliyevunja rekodi za Rooney na Eto’o

 


Moja kati ya washambuliaji mahiri kwa sasa katika Ligi Kuu ya England ni staa wa kimataifa wa Norway Earling Haaland (22) Kutokana na uhodari wake wa kupachika nyavu toka wakati huo akiwa Borussia Dortmund, Haaland ameanzia alipoishia kwa maana toka ajiunga na Man City ameonesha ubora ule ule aliokuwa nao Dortmund.






Hiyo ilikuwa ni kufuta machungu yaliotangulia kwa beki wao John Stones kujifunga dakika ya 4 ya mchezo na Andersen kufunga la pili kwa Crystal Palace dakika ya 21, Haaland akiwa na umri wa miaka 22 tu tayari anakuwa na idadi kubwa ya hat-trick 13 kuliko baadhi ya wachezaji wakubwa katika soka kama Wayne Rooney mwenye hat-trick 10, Samuel Eto’o 9 na Fernando Torres 8



Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube