
MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo,
Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One
Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumganda mzungu wa kampuni ya
kinywaji cha Swala baada ya kusambaa kwa taarifa za kupewa dili nono na
kampuni inayozalisha kinywaji cha Swala.
Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Hamorapa, imeweka Ujumbe akijinadi
kwa mashabiki wake kuwa yupo na mzungu wake bosi wa kijanywaji hicho.
Aidha kwa sasa mashabiki wanamshauri Hamorapa kufanya kazi nzuri za sanaa na kuachana na kiki zisizo na kichwa wala miguu.
COMMENT AND SHARE....................................!!!!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!