Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Artificial Intelligence(AI), Gas Economy New Tanzania Priorities in 2024/25

Shamba la Mirungi Lateketezwa kwa Moto Huko KARAGWE..:;

           
Ekari Tatu za shamba la mirungi zimeteketezwa kwa moto Wilayani KARAGWE Mkoani KAGERA huku mmiliki wa shamba hilo pamoja na mtu mwingine ambaye anadaiwa kuficha kete za bangi pamoja na miche ya mirungi katika duka moja la nguo wote wakifunguliwa mashtaka.

Kufuatoa tukio hilo Mkuu wa Wilaya ya KARAGWE, GODFREY MHELUKA ametoa wito kwa wakazi wa wilaya hiyo wenye taarifa kuhusu watu wanaojihusisha na biashara pamoja na matumizi ya dawa za kulevya kuendelea kutoa taarifa.     







COMMENT AND SHARE................................!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube