Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Serikali Sasa Yajiandaa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi..:;

           
Serikali imesema imejiandaa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi kwa kutekeleza mikakati mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kuta za kuzuia mmonyoko wa ardhi.

Akijibu swali bungeni mjini DODOMA Naibu Waziri wa ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira, LUHANGA MPINA amebainisha mikakati  hiyo kuwa ni pamoja na upandaji wa mikoko, kilimo endlevu na ujenzi wa mabwawa.

Naye Waziri Wa Maji Na Umwagiliaji MHANDISI GERSON LWENGE akijibu swali la nyongeza amesema serikali inatarajiwa kuweka pampu za kusukumia maji ili wakazi wanaoishi maeneo yenye mwinuko wilayani BUKOBA waweze kupata maji safi na salama.

Wakati huo huo Naibu Waziri wa TAMISEMI, SELEMAN JAFO amesema serikali itatumia fursa zilizopo kwenye vyanzo vya maji ili kutatua tatizo la maji lililopo TABORA mjini.       







COMMENT AND SHARE..................!!!!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube