Hospitali moja nchini CHINA imekiri kuwa watu watano waliambukizwa
virusi vinavyosababisha Ukimwi katika hospitali hiyo kimakosa.
Maafisa wa afya katika mkoa wa HANGZHOU wamesema watu huo walipata
maambukizi hayo baada ya mhudumu wa afya kutumia tena bomba la sindano
lililotumika kumtibu mgonjwa wa ukimwi kuwatibu wagonjwa wengine badala
ya kulitupa.
Maafisa hao wamesema kitendo kilichofanywa na mhudumu hiyo ni
ukiukwaji wa utaratibu wa kiafyana kuongeza kuwa tayari wahudumu wa afya
watano wamefukuzwa kazi katika hospitali hiyo.
Wamesema walioambukizwa watakuwa wakipatiwa matibabu na kwamba watalipwa fidia.
COMMENT AND SHARE..............................!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!