UTANI WA WACHAGGA.!!
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili
za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi
mjini. Wanaume wa Rombo wanachunwa sana na wanawake wa Marangu na
wanawaita "vishohia". Wanawake wa Rombo ni mama Huruma, wanaachia tu..
Ukioa Mrombo ujue umeolea kijiji.
2. WAMARANGU; Ni wazuri sana wa sura na umbo, wanavutia. Lakini
wanawachuna sana Warombo. Wanawake wa Marangu wana dharau sana na
wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe
si jambo la ajabu.
3. WAKIBOSHO; wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi.
Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... wengi wanamiliki mabucha.
Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi
anakuja kudai kisu chake.
4. WAMACHAME; hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili umeliwa. Ni
wasiri sana lakini wako makini mno hasa kwenye pesa. Wakiwa na hasira
hawaoneshi waziwazi, so Mmachame anaweza kukuua huku akitabasamu. Sio
waaminifu sana lakini wanaenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga
wote. Wanawake wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume ukitajirika
mkeo anakuua ili arithi mali.
5. WAURU; hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo
kabisa. Hadi leo eneo lao la Kishumundu linatumika ku-identify wachagga
washamba. Wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua wehu na wanaume huwa
vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, lakini wanawake ni wachapakazi
hodari. Wanazurura mjini na mabeseni wakiuza ndizi mbivu.. Ukioa Uru
jiandae kulea kichaa.
6. WASIHA; Kwanza hawapendi kuitwa Wachagga. Wanajiita watu wa
West-Kilimanjaro. Ni mchanganyiko wa Wachagga na WaMeru. Hawapendi shule
ila wanapenda zaidi kazi za ufundi na kilimo. Viazi vingi vya Chips
Arusha na Moshi vinatoka kwao. Wanawake zao wana "vigimbi" mguuni sababu
ya kulima mno.!
7. WAKIRUA; wanapenda sifa kama Wahaya. Wanawake wa Kirua ni
wachawi kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe.. Wanaume wa
Kirua hawapendi kuoa kwao.. Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa
gharama.. lakini siku wakija mjini wawili tu utadhani wako mia.
8. WA OLD-MOSHI; Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba, japo
hawajengi kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi inayoanzia
Moshi mjini, maana ni wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege
njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na
kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!
COMMENT AND SHARE..................!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!