Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Wachezaji Watatu(3) wa Arsenal Waongeza Kandarasi Zao..:;

Mshambuliaji wa wa Arsenal Olivier Giroud na bao lake la nge dhidi ya Crystal palace        Mshambuliaji wa wa Arsenal Olivier Giroud na bao lake la nge dhidi ya Crystal palace 

Wachezaji wa Arsenal Olivier Giroud, Laurent Koscielny na Francis Coquelin wameongeza kandarasi zao na klabu hiyo.
Arsenal haijatangaza kuhusu kiwango cha kandarasi hizo ,lakini Koscielny amesema katika mtandao wa Twitter kwamba ataongeza kandarasi yake hadi mwaka 2020.
''Tunafurahi kwamba wachezaji watatu muhimu wameamua kusalia nasi kwa kipindi cha muda mrefu'', Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amenukuliwa akisema.
Wachezaji hao wa Ufaransa wamekuwa wakishiriki kila mechi huku Giroud akiweka kandarasi hiyo baada ya kufunga mabao manne katika mechi nne likiwemo bao lake la 'nge' dhidi ya Crystal palace.
''Francis ameimarika pakubwa katika kipindi cha miaka michache iliopita kwa sababu ana maono kila siku'', alisema Wenger.
''Olivier ana uzoefu katika mechi kubwa na ameimarika zaidi tangu ujio wake hapa. Koscielny ni kiungo muhimu wa kikosi chetu na ninaamini ni mmojawapo wa mabeki wazuri duniani''.      


COMMENT AND SHARE...................!!!!!!!!!!     
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube