Matukio
mengi ya kiuchumi na kitamaduni katika kipindi cha nusu karne iliyopita
vinaonekana kusababisha wanawake na wanaume kuepuka kupata watotoWanawake barani Ulaya wanapata watoto wachache, hususan kusini mwa bara hilo, ripoti ya Ufaransa imebaini.Zaidi
ya asilimia 5% ya wanawake waliozaliwa miaka ya 1970 huenda wakabakia
kutokuwa na watoto kusini mwa Ulaya , ikilinganishwa na asilimia 15%
katika mataifa ya kaskazini mwa Ulaya na asilimia 18% katika nchi za
magharibi mwa Ulaya.Sababu
zinazochangia ni ukosefu wa soko la ajira na ukosefu wa sera bora za
kazi zinazozingatia maisha ya kifamilia, jambo linalosababisha
kuongezeka kwa idadi ya watu wanaojitolea kutokuwa na watoto, imeelezea
ripoti hiyo.Lakini ripoti imeelezea kwamba viwango vya watu wasio kuwa na watoto pia vilikuwa vya juu yapata karne moja iliyopita.
Upungufu wa watoto unaonekana zaidi kusini mwa bara UlayaKiasi
cha asilimia 17 hadi 25% ya wanawake waliozaliwa katika karne ya 20
walibakia kutokuwa na watoto, kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo
vifo vya wanaume wengi wa umri wa kuoa kufa katika Vita Kuu ya Kwanza ya
Dunia, uhamiaji wa vijana wa kiume katika nchi maskini, na athari za
mfadhaiko mkubwa wa mwaka 1929.Tangu
wakati huo kulikuwa na idadi kubwa ya watu wasiokuwa na watoto, inasema
Taasisi ya masuala ya Idadi ya watu nchini Ufaransa.
Mashariki mwa Ulaya , ongezeko kubwa la idadi ya watoto wanaozaliwa lilidumu zaidi kuliko magharibiUpungufu
wa watoto ulifikia viwango vya chini zaidi miongoni mwa wanawake
waliozaliwa kati ya miaka ya 1930 na 1940 - wazazi wa kizazi cha "baby
boom" ambacho kiliishi na kunufaika na mafanikio ya baada ya vita kama
vile viwango vya chini vya ukosefu wa ajira na hali ya mifumo bora ya
kijamii iliyotolewa na serikali za wakati huo."Matukio
mengi ya kiuchumi na kitamaduni katika kipindi cha nusu karne iliyopita
vinaonekana kusababisha wanawake na wanaume kuepuka kupata watoto.Wanawake
wachache imeeleza ripoti kuhusu kupungua kwa watoto barani Ulaya ,
kutokuwa na mpango wa kupata watoto - badala yake , wengi wao "wamekuwa
wakiahirisha uzazi" hadi kujipata mud..
COMMENT AND SHARE...................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!