Mkutano wa Mawaziri wote wa Tanzania bara na Visiwani unaendelea
mjini UNGUJA kujadili maswala mbalimbli yanayohusu kero za muungano.
Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano huo Mwenyekiti wa Mkutano huo
ambae pia ni Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ZANZIBAR , MOHAMED
ABOUD amesema lengo la mkutano huo ni kujadili changamoto za muungano
na kuzipatia ufumbuzi wake.
Kwa upande wake Mwenyekiti mwenza wa Mkutano huo Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira JANUARY MAKAMBA amesema
mikutano kama hii imekuwa na mchango mkubwa katika muungano hasa katika
utatuzi mbalimbali wa masuala ya muungano yanayogusa maslahi ya taifa
H
COMMENT AND SHARE...................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!