KERO za Michango ya Sherehe Katika Jamii ya Watanzania:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
akuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu.
Watu wanakutana kila wiki mara moja kwenye baadhi ya bar, wanakunywa na
kusaza katika hivyo vikao vya maandalizi, vikao hivyo huchukua miezi
miwili hadi mitatu. Na katika vikao hivyo watu hutoa ahadi ya kiasi cha
fedha watakachotoa kwa ajili ya harasi, wanaume hutoa michango ya
bachela parti na harusi kuu, na kina dada hutoa michango ya sendi off,
bridoshawa, kichenipati, na harusi kuu.
Kwa kifupi zoezi hili linakula hela nyingi sana, nimeambiwa sometimes
you can be asked to contribute to more than 10 wedding a year, na ukitoa
chini ya laki moja unaonekana mtu wa hovyo hovyo.
Jamani ndugu zangu naombeni mwongozo mimi naona kama hii ni too much.
Badala ya michango ya vikao vya harusi basi tuihamishie kwenye Elimu na Matibabu.
COMMENT AND SHARE.....................................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!