Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Joh Makini: Sijawahi Kuwa na Tofauti na Fid-Q..;;

Tokeo la picha la joh makin                                  Rapa Joh Makini ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake ya 'Waya' amefunguka na kusema yeye hajawahi kuwa na tofauti yoyote ile na rapa Fid Q ila anahisi mashabiki ndiyo wamekuwa na hisia hizo kutokana na ushindani wa muziki.                     
Joh Makini alisema hayo jana kwenye kipindi cha Fiday Night Live cha (EATV) alipokuwa akizungumzia suala la Fid Q kumposti katika moja ya mtandao wake wa kijamii, Joh Makini anasema amejisikia furaha kuona Fid Q ametoa support kwenye kazi yake hiyo mpya kwani ni ishara ya kukubali na kuelewa kile alichofanya.
"Mimi sijawahi kuwa na tofauti na Fid Q ila siku zote huwezi kuzuia mashabiki kutengeneza picha zao kichwani kutokana labda na ushindani, au kwa kuwa tupo kwenye game moja kwa hiyo wanaona kama tuna bifu. Lakini katika maisha ya kawaida hatujawahi kuwa na tofauti kabisaa, mimi nafikiri Fid Q amependa kitu nilichokifanya na ameonyesha kuki support na mimi nimeipokea kwa moyo mmoja, nimeona ni kitu kizuri kuona mwezako amefanya kitu kizuri na amekubali ni kitu kizuri" alisema Joh Makini
Mbali na hilo Joh Makini alisema kuwa aina ya muziki anaofanya yeye ni kwa ajili ya watu wote, kuanzia Mbagala mpaka New York hivyo kwenye muziki wake habagui hivyo muziki wake hauna mipaka wala si muziki wa Watanzania pekee yake bali anafanya muziki kwa ajili ya watu wote.
              



COMMENT AND SHARE...................!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube