Japan imemtaja rasmi mwanamiereka
wake kuwa bingwa wa dunia wa uzani mzito kwa miongo miwili, kama njia ya
kuimarisha mchezo wa miereka ya kitamaduni.
Kisenosato, mwenye
umri wa 30, alipandishwa cheo kuwa yokozuna wa hali ya juu baada ya
kushinda katika shindano lake la kwanza la mwaka
Ni Mjapan wa kwanza kuwa mwanamiereka tangu Wakanohana mwaka 1998.
Wanamiereka watano kutoka Marekani, Samoa na Mongolia wamejiunga kwa muda mfupi.
Wanamiereka kutoka nchi za nje wameudhibiti mchezo huo wa sumo , na kusababisha wanamiereka wa kawaida kukosekana.
Kisenosato, ambaye ametoka Ibaraki kasakazini mwa Tokyo mwenye uzani 178kg ameorodheshwa wa pili tangu mwaka 2012.
Baada
ya kuwa katika nafasi ya pili kwa mara kadhaa, hatimaye alipata ushindi
katika shindano lake la kwanza , na kusababisha kupandishwa cheo kuwa
Yokozuna katika shindano la mwaka 2017.
''Nakubali, na ubinadamu
wangu,''kisenosato amesema alipokuwa akiwahutubia wanahabari baada ya
shirikisho la wanamiereka la Sumo kumuidhinisha.
''Nitajitolea kwa jukumu hilo na sitailetea aibu jina la Yokozuna''
Mashabiki wa Japan watajivunia kuwaona wanamiereka kurudi uwanjani katika mchezo huo licha ya tamaduni yao.
Watatu hao wanatoka Mongolia, kufuatia nyayo za Asashoryu, ambaye ni yokozuna wa kwanza aliyetoka Mongolia mwaka 2003.
Walioshinda miereka kutoka Japan walikuwa ndugu Takanohana na Wakanohana ambao walimfikia Yokozuna mwaka 1994 na 1998 mtawalio.
Kwa
miaka ya hivi majuzi , imeshuhudia idadi ya wanamiereka kutoka Japan
imepungua, kwa sababu mchezo huo umeonekana kuwa mgumu ,na unaodhibiti
maisha kwa kiasi kikubwa.
Wanamiereka chipukizi wa sumo hufanya
mazoezi katika 'mabanda' ambapo hula , hulala na kufanya mazoezi kwa
pamoja na wakati kujiweka katika hali kwani wanaamini itawaongezea
COMMENT AND SHARE.....................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!