Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Artificial Intelligence(AI), Gas Economy New Tanzania Priorities in 2024/25

Diego Costa Aaachwa Nje Baada ya Mgogoro na Kocha Wake..:;

Costa mwenye umri wa miaka 28 amefunga mabao 14 na kusaidia kutengeza mabao 5 msimu huu           
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amewachwa nje katika kikosi cha Chelsea dhidi ya Leicester baada ya mgogoro na kocha kuhusu uzima wake.
Raia huyo wa Uhispania hajashiriki mazoezi kwa siku tatu na hajasafiri na viongozi hao wa ligi ili kushiriki mechi dhidi ya bingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Leicester.
Habari hizo zinajiri huku kukiwa na ripoti kwamba anashirikishwa na uhamisho nchini China wenye thamani ya pauni milioni 30 kwa mwaka.
Costa mwenye umri wa miaka 28 amefunga mabao 14 na kusaidia kutengeza mabao 5 msimu huu.
Chelsea hatahivyo imekataa kutoa tamko lolote.
Inaeleweka kwamba mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich hataki kumwachilia katika kandarasi yake inayokamilika 2019, na hafurahii mpango wa kushinikizwa kufanya hivyo.    



COMMENT AND SHARE..............!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube