Bei ya mahindi katika soko la nafaka la Tandale jijini Dar Es Salaam
imepanda kutoka shilingi 700 kwa kilo na kufikia shilingi elfu 1000.
Baadhi ya wafanyabiashara wa mahindi katika soko hilo wamesema
mahindi yameanza kupanda kuanzia mwezi Desemba mwaka jana kutokana na
kuingizwa kwa uchache kutoka mikoani.
Hata hivyo kutokana na kupanda kwa bei ya mahindi kumesababisha
kupanda kwa bei ya unga wa sembe ambapo kilo moja kwa sasa inauzwa kati
ya shilingi 1400 mpaka shilingi 1500 kutoka shilingi 1000 ya hapo awali
kama wanavyoelezea baadhi ya wakina mama.
COMMENT AND SHARE................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!