Waumini wa dini ya Kikristo duniani kote leo wanaungana na wenzao
duniani kote kusheherekea mkesha wa Krismass ikiwa ni kukumbuka
kuzaliwa kwa mwokozi wao YESU KRISTO zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Waumini wa dini ya Kikristo duniani kote leo wanaungana na wenzao
duniani kote kusheherekea mkesha wa Krismass ikiwa ni kukumbuka
kuzaliwa kwa mwokozi wao YESU KRISTO zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Kufuatia sikukuu hiyo Rais JOHN MAGUFULI ametoa msaada wa vitu
mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni NANE kwenye vituo vya
kulelea wazee wasiojiweza,watoto yatima na wanaoishi mazingira hatarishi
pamoja na makundi mengine maalumu ili kusherehekea sikukuu hiyo kwa
furaha.
Hapa nchini sikukuu ya KRISMAISI kitaifa inafanyika Mkoani KAGERA
ambapo Shirika la Utangazi Tanzania TBC litarusha matangazo ya idaya ya
sikukuku hiyo.
COMMENT AND SHARE................................!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!