Waasi wakubali mazungumzo ya kusitisha vita Syria:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kundi moja la waasi wa Syria
limesema litakutana na maafisa wa Urusi na wale wa Uturuki kuzungumzia
swala la kusitishwa kwa mapigano huko Syria.
Kundi hilo Ahrar
al-Sham linasema tayari limefanya mazungumzo na Uturuki lakini bado
mwafaka haujapatikana kwasababu ya kutojumuishwa kwa eneo moja muhimu
lililoko karibu na Damascus kwenye mazungumzo hayo.
Hapo jana
waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema nchi yake
imekubaliana na Urusi na vilevile Iran kuwe na ushirikiano wa karibu
katika lengo la kutafuta amani ya kudumu huko Syria.
COMMENT AND SHARE.............!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!