Zijue Sababu za kwanini Tunazima Simu Ndege Inapotaka Kupaa au Kutua:;
Najua kama ni mtumiaji wa usafiri wa ndege utakuwa ushasikia taratibu za
abiria kuzima simu wakati ndege inataka kupaa na kutua ila huenda
hukawa hujui sababu kwa nini unatakiwa kufanya hivyo, inawezekana
ulishajiuliza usipozima unaweza kusababisha ndege kupata ajali au? jibu
ni Hapana, isipokuwa unaweza kusababisha muingiliano wa mawasiliano kati
ya rubani na waongozaji.
Vibrations au miungurumo ya simu na vifaa vingine vya electronics
vinahusika kwa kiasi kikubwa kuvuruga mawasiliano mazuri kati ya rubani
na wanaomuongoza, hivyo huwa tunashauriwa kuzima simu na vifaa vingine
vya electronics wakati wa kupaa na kutua kwa ndege. Hiyo ni moja kati ya
sababu kuu zilizotajwa juu ya swali la ”Kwanini tuzime simu wakati
ndege inaporuka na kutua”?.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!