Shindano la utunzi na ghani za lugha adhimu ya kiswahili limefanyika
ambapo mstahiki Meya wa jiji la DSM, ISAYA MWITA amesema ataendelea
kutunza utamaduni wa watu wa DSM
Shindano la utunzi na ghani za lugha adhimu ya kiswahili limefanyika
ambapo mstahiki Meya wa jiji la DSM, ISAYA MWITA amesema ataendelea
kutunza utamaduni wa watu wa DSM kwa kukuza lugha ya kiswahili kwa
kuanzisha mashindano ya utunzi na ghani za kiswahili.
Akizungumza katika fainali za utunzi wa mashairi jijini DSM ,mstahiki
meya ISAYA MWITA amesema,mashairi ni njia kuu ya uhifadhi wa lugha na
tamaduni za jamii .
Mashindano ya utunzi wa mashairi,yamefanyika kwa siku 2 JIJINI DSM
ambapo siku ya kwanza washiriki 15 walijitokeza,kuandika mashairi
kuhusu, JIJI LA DSM , LUGHA KISWAHILI, MAADILI pamoja na MWALIMU
NYERERE ambapo mshindi ameondoka na kitita cha milioni MILIONI MOJA NA
NUSU.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!