Bodi inayofuatilia inayofuatilia
ujumbe wa filamu nchini Kenya imeonya kwamba itachukua hatua dhidi
watengenezaji wa vipindi vya mazungumzo ya ngono ,vilivyozinduliwa mwezi
Aprili, ikiwa uchunguzi utabaini kwamba wamekuwa wakivunja sheria.
Taarifa
iliyotolewa na mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Filamu ya kenya Ezekiel
Mutua inahusu kipindi kinachofahamika kama " cha kwanza cha wapnzi wa
jinsia moja wa kike cha TV kinachoongozwa na wapenzi wa jinsia moja
maarufu wa kike ".
Taarifa hiyo imeongeza kuwa kipindi hicho,
Kinachoitwa ''The Spread Podcast," kilitarajiwa kusambazwa na
televisheni ya WGNTV, Iliyopo kwenye mtandao wa dunia wa internet
unaopatikana nchini Kenya".
Amesema yale yanayozungumziwa
kwenye kipindi hicho yana uwezekano mkubwa wa kuwa kinyume na sheria ya
nchi inayopiga marufuku mapenzi ya jinsia moja na suala zima la
kuyanadi.
Bw Mutua aliwahi kutoa wito wa kupigwa marufuku kwa kipindi hicho kwa ''kutotokuwa na cha maadili'' na "kukiuka sheria".
COMMENT AND SHARE...................................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!