Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Watanzania Wachaguliwa Kuwa Sehemu ya Scouts Afrika Kwa Mara ya Kwanza

 



Kwa mara ya kwanza Watanzania wamechaguliwa kuwa sehemu ya Kamati ya Scouts Afrika ambapo Mkutano Mkuu ulifanyika Nairobi, Kenya Agosti 25 hadi 28, 2022.

Akizungumza na Ayo TV na Millardayo.com Yasin Othman ambaye ni Mshiriki wa Mkutano Mkuu wa Afrika amesema nchi zilizoshiriki ni takribani 39 ambapo nchi 4 tu ndio zinatakiwa katika kamati hiyo. 

“Miongoni mwa ajenda ilikuwa ni kupitia mabadiliko ya Katiba, kupitia mpango kazi wa miaka 3, pia ajenda ya Uchaguzi ambapo tunamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Wizara ya Mambo ya Nje ilitusaidia kuwaambia Mabalozi watupigie kura na sasa Tanzania tumeshinda,” amesema.

Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube