Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Jela Miaka Mitano Kisa Uchawi

 


Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemuhukumu kifungo cha miaka mitano jela

John Sevelini Chale (60) wa Kiji cha Iwela Wilayani

Ludewa kwa kosa la kukutwa na hatia ya uchawi baada ya kumsababishia ukichaa Moto wa Mdogo wake aitwae Vediana Chale.

Imeelezwa kuwa Februari 01, 2022 saa mbili na nusu asubuhi iii kwao ziliripotiwa taarifa kuwa Chale anatuhumiwa na Mlalamikaji Hekima Chale kujihusisha na vitendo vya kishirikina tuhuma ambazo zilipeleka upelelezi kufanyika na kumfikisha Mtuhumiwa Mahakamani March 01,2022 na kusomewa shtaka la ku¡ihusisha na vitendo vya kishirikina kinyume na kifungu cha 3(a) na 5(1) cha sheria ya uchawi sura ya 18 marejeo 2019.

Mwendesha mashtaka wa Serikali aliiomba

Mahakama kumpatia Mshtakiwa adhabu kali ili iwe fundisho kwake na wengine kwani vitendo vya kishirikina vinasababisha migogoro ya Familia na Jamii na kupelekea mauaji ambapo baada ya hoja hizo Mahakama imeamuru Mshitakiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela.

Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube