Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

DC Godwin Gondwe alivyoshiriki zoezi la usafi fukwe za bahari Kidimbwi DSM Agosti 27, 2022

 


Agosti 27, 2022 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe ameshiriki zoezi la Usafi fukwe za Bahari maarufu kama Kidimbwi Beach iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam

Aidha baada ya shughuli hiyo ya Usafi Mkuu wa Wilaya alipata nafasi ya kuzungumza machache na Vyombo vya Habari.

Wananchi wote wapo hapa ili tutengeneze vizazi  vya usafi, na tupo Viongozi mbalimbali lengo letu ni kwamba kampeni hii ya usafi safi pendezesha Dar es Salaam inaanzia kwenye mitaa”– DC Gondwe

Lengo letu kwamba beach zetu ziwe safi na biashara zote ambazo zipo pembezoni mwa Beach wahakikishe ziwe safi na kama wahusika wakiuka taratibu basi mamlaka husika watawawajibisha’- DC Gondwe

“Naomba pia niongezee wamiliki wa vyombo vya Usafiri watunze Mazingira kwa kuweka chombo kitakachokuwa kinapokea uchafu ndani ya gari kuliko abiria kutupa uchafu nje si jambo sahihi”- DC Gondwe

“Wito wangu wa leo fukwe zetu furaha yetu tunawajibu wa kufanya usafi katika maeneo yetu”- DC Gondwe 



Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube