Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Sherehe ya Kuchumbiwa Jackline Wolper Balaa..... Muoaji Afanya Kufuru ya Aina Yake:;

Sherehe ya Kuchumbiwa Wolper  Balaa..... Muoaji Afanya Kufuru ya Aina Yake 

SHEREHE ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake baada ya muoaji kufanya kufuru ya aina yake, Amani linaripoti habari hii kwa mara ya kwanza (exclusive).

Sherehe hiyo iliyohusisha msafara mkubwa wa magari kutoka jijini Dar, ilifanyika Moshi, wikiendi iliyopita nyumbani kwa bibi yake kijijini Moshi.

Ili kutazama picha zote za tukio zima la kuchumbiwa kwa Wolper na mpenzi wake, Sadiki Athanasy Sanga ‘Engine’, ingia kwenye Application yetu ya Global Publishers sehemu ya magazeti.

Kama Huja-download fanya hivyo sasa, install kwa kupitia hizi Link uzitazame picha zote za kuchumbiwa kwa Wolper. 





COMMENT AND SHARE............!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube