Mwanamitindo Vivienne Westwood mwenye umri wa miaka 76 kutokea nchini
Marekani, amesema kuwa kuoga mara moja kwa wiki ni siri kubwa ya
kumfanya mtu asizeeke na daima kuonekana kijana.
Mume wake mwanamitindo huyo ambae ni Andreas Kronthaler alifanya
mahojiano na Paris Fashion week baada ya kuulizwa kuhusu siri kubwa ya
wao kuonekana vijana na kafunguka kuhusu siri hiyo.
Andreas Kronthaler ambaye ni mume wa Vivienne Westwood ameweka wazi kuwa
yeye huoga mara moja kwa mwezi wakati mke wake Vivienne Westwood huwa
anaoga mara moja kwa wik
COMMENT AND SHARE..........!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!