Rais wa Brazil Michel Temer pamoja
na na viongozi wengine wa serikali wamesafiri mpaka mji wa Sao Paulo
kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo Luiz Inacio
Lula da Silva kufuatia kifo cha mke wake aliyekuwa akiugua maradhi ya
kansa ya ubongo.
Lula ni miongoni mwa marais waliokubalika sana
Brazil lakini kashfa ya rushwa kwenye kampuni kubwa ya mafuta ya
Petrobras ilimchafua.
Viongozi kadhaa wa nchi za Amerika ya Kusini wametuma salamu zao za rambirambi.
Lula na Marisa Leticia walioana miaka 43 iliyopita.
COMENT AND SHARE........................!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!