
Wimbo wa msanii Snura ambao ulifungiwa kwa mara ya kwanza na Baraza la
Sanaa la Taifa (BASATA) 'Chura' umeonekana kuwakosha baadhi ya raia wa
Nigeria baada ya msanii mkubwa wa Nigeria Don Jazzy kujirekodi video
huku akiimba na kucheza ngoma hiyo
Baadhi ya mashabiki wa Tanzania pia wamepokea vyema video hiyo na
kutoa sifa nyingi kwa Don Jazzy kwa kitendo cha kuimba ngoma hiyo ya
Singeli pia wametoa pongezi nyingi kwa Snura kwa ngoma yake hiyo.
"Lol TZ did I get it right? #255 #Chura" alipost Don Jazzy
COMMENT AND SHARE.........................!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!