Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao
uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na
maganda ya bamia, anakwambia “worry not darling mi sinaga hata wivu wala
sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo
am ready for wateva”
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla
ya kupiga simu anakuuliza ‘are u free nikupigie’ ila baadae dyudyu
ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga
eti “nimekuota bebi i wish you were here”
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo
agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi
wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha
penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee
ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya
biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa
mpapai na steel wire.
COMMENT AND SHARE...........!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!