Wanakijiji NJOMBE waamua wakagua miradi ya maendeleo kutokana na kuchelewa:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Wanakijiji cha Lugenge halmashauri ya mji wa Njombe wametembelea na
kukagua mradi wa mkubwa wa kufikisha maji kijijini hapo wenye thamani ya
mabilioni ya shilingi ili kufahamu kwanini mradi huo haujakamilika

tangu ulipoanzishwa zaidi ya miaka sita sasa.
Katika ziara hiyo wanakijiji hao wameshtushwa na kiwango duni cha
utekelezaji ambacho hawakukitarajia hasa kutokana na ahadi wanazopewa na
viongozi wa ngazi mbalimbali kuwa mradi huo sasa utakamilika mapema
mwaka huu.
Wanakijiji hawa ambao ziara yao imefadhiliwa na wanakijiji wenzao
wanasema hakuna muujiza wowote wa mradi huo kukamilika katika kipindi
wanachoahidiwa kwakuwa kwa kiwango fulani kazi ya kuujenga imeharibika
kutokana na maji ya mvua kuongeza kina cha mitaro ya kupitisha mabomba
ya maji kwenye baadhi ya maeneo.
COMMENT AND SHARE.............!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!