Wanafunzi wawili wa shule ya msingi MAKWAYA wilaya ya SONGEA mkoani
RUVUMA wamekufa baada ya kufukiwa na udongo katika ukingo wa mto RUVUMA,
Kaimu Kamanda wa polisi, wa mkoa wa RUVUMA, DISMAS KISUSI amewataja
watoto hao kuwa ni BENJAMIN NDUNGURU mwanafunzi wa darasa la nne na
FREDY MATEMBO mwanafunzi wa dasara la kwanza.
KISUSI amesema wanafunzi hao wamepotea tangu Januari sita mwaka huu
na miili yao kupatikana Januari nane mwaka huu kufuatia taarifa
zilizotolewa na watoto waliokuwa wakiokota maembe kuona miguu imefukiwa
na kifusi cha udongo.
COMMENT AND SHARE..................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!