Unlabelled » MAPENZI ya Jeniffer Lopez na Drake Yazidi..Lopez Akataa Mwaliko na Kumfuata Drake Las Vegas:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Drama ya Drake na Jennifer Lopez imezidi kuendelea wikiendi hii.
Wawili hao wamezidi kuibua maswali juu ya mahusiano yao baada Jennifer
kusitisha kuhudhuria kwenye tamasha aliloalikwa la NEW YEAR’S EVE mjini
Miami na badala yake alikwenda Las Vegas kwenye show ya Drake aliyokuwa
akitumbuiza kwenye ukumbi wa Hakkasan nightclub.
Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa Us Weekly, “Jennifer watched and had the best time at Drake’s show.”
Ni wiki ya pili sasa wawili hao wamekuwa wakihusishwa kuwa na mahusiano
ya kimapenzi japo hakuna aliyethibitisha kati yao huku wakionekana
kushirikiana kwenye wimbo wao mpya.
COMMENT AND SHARE......................!!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!