
Serikali ya Uganda imetangaza mlipuko wa mafua ya ndege aina ya H7N9,
ambapo mizoga kadhaa ya ndege imekutwa katika wilaya za katikati mwa
nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Kulingana
na Waziri wa Kilimo, Viwanda na Uvuvi, Christopher Kibazanga, vipimo
vilivyofanywa nchini humo vimethibitisha mlipuko wa mafua ya ndege yenye
virusi vinavyosambaa upesi na kusababisha vifo vingi zaidi kwa binadamu
na wanyama.
Kibazanga amesema mnamo tarehe pili mwezi huu wa Januari, mamlaka wa wanyamapori waliripoti vifo vingi vya ndege.
Wizara hiyo bado haijatoa takwimu kamili za ndege walioathirika na wala kiwango cha mambukizo ya virusi hivyo vya H7N9.
COMMENT AND SHARE...............!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!