Bao la Luis Suarez dakika ya mwisho liliokoa jahazi la Barcelona na kusababisha kutoka sare ya bao moja na Real Betis.
Real
Betis ilitawala mechi na mchango wao Dani Ceballos na Ruben Castro
ukazaa matunda wakati Alex Alegria alipoutumbukiza mpira kwenye wavu.
Awali
bao na Barcelona lilikataliwa kutokana kutokuwepo kwa teknolojia ya
kutambua bao likivuka mstari wa goli kwenye michuano ya La Liga.
Hata hivyo Suarez alitumia fursa ya kipekee baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Lionel Messi dakika ya mwisho na kusawazisha .
Barcelona
wako pointi moja nyuma ya Real Madrid ambao wana mechi mbili za kucheza
ikiwemo ya nyumbani dhidi ya Real Sociedal siku ya Jumapili.
COMMENT AND SHARE........................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!