Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa mataifa mabalimbali
wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo cha Amani na
Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika
Addis Ababa nchini Ethiopia.
 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo (pichani)
katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina Rasmi
la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa nchini Ethiopia. |
 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya
kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere katika kituo hicho
cha Amani na Usalama. |
 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea
katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Abba nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU |
COMMENT AND SHARE................!!!!!!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!