
Drama ya pambano la Chris Brown na Soulja Boy inazidi kushika kasi.
Imedaiwa kuwa pambano la ngumi la wawili hao lipigwa katika ulingo huko
Dubai.
Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa TMZ, wawili hao wamekubali kupigana
kwenye pambano hilo ila wanachotaka ni kupata fedha zaidi kupitia kwa
watu ambao watataka kuangalia pambano hilo [Pay-Per-View].
Awali pambano hilo lilipangwa kufanyika mjini Las Vegas lakini kutokana
na sheria zilizopo katika mji huo kutokana na mapambano kama hayo ndio
imesababisha kubadilishwa kwa ratiba hiyo. Hata hivyo imedaiwa kuwa
pambano hilo litakuwa ni kwa ajili ya kujitolea na fedha
zitakazopatikana zitatolewa kama msaada.
PATA APP YAKO HAPA(GET YOUR APP HERE)
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!