
Zaidi ya nyumba MIA MBILI zimeharibiwa Wilayani KAHAMA Mkoani
SHINYANGA kufuatia mvua kubwa iliyonyesha wilayani humo ambayo na
kusababisha wakazi wake kukosa mahali pa kuishi.
Akizungumza mara baada ya kutembelea baadhi ya vijiji vilivyoathiriwa
na mvua hizo Mkuu wa Wilaya ya KAHAMA, FADHIL NKULU amesema tayari
uongozi wa wilaya hiyo umeanza kufanya tathmini ili kubaini hasara
iliyojitokeza.
Mvua hizo pia zimesababisha madhara pia katika Zahanati ya Kijiji cha
MWANKIMA katika Halmshauri ya MSALALA kwa kuezua paa pamoja na kubomoa
sehemu nyingine.
COMMENT AND SHARE.........................!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!