Baada ya Mtangazaji wa XXL ya Clouds
FM, B Dozen kupost picha Instagram akiwa na mtafiti wa wanyama aina ya
Sokwe, dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo alicomment kwenye picha hiyo kuwa mtafiti huyo aje na Dar es salaam kumfanyia utafiti Harmorapa.
Sasa leo January 30 2017 kupitia YOU HEARD ya XXL clouds FM, Soudy Brown ametuletea inayomhusu Mose Iyobo kumfanisha Harmorapa na Nyani ambapo haya ni majibu ya Harmorapa baada ya hiyo comment.
‘Asante sana Mose kwa kuniita
nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa
hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na
Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa
Mose Iyobo kwa upande wake ameongea yafuatayo
’Mimi
sioni cha ajabu, kuna mtu anaitwa Simba na anafurahi, kuna mtu anajiita
Dudu baya na anafurahi leo mtu kumuita mtu nyani yanakuja maneno mengi,
wao wanatukana maneno mangapi na hujasikia nimeenda kusema sehemu’.
COMMENT AND SHARE..........................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!