Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

MANNY PACQUIAO Kupanda Ulingoni April 22 Mwaka Huu..:;

       
Bingwa wa WBO uzani mwepesi MANNY PACQUIAO yupo katika mazungumzo ya kupambana na bondia wa AUSTRALIA JEFF HORN.

Promota wa PACQUIAO,  BOB ARUM amenukuliwa akisema bondia wake atapanda ulingoni April 22 kupambana na Horn.

PACQUIAO mwenye miaka 38, ambaye kwa sasa ni mwakilishi katika bunge la senate nchini UFILIPINO ameendela kufanya siasa kwa pamoja na mchezo wa ngumi.

Katika pambano lilopita Pacquiao alishinda taji la WBO uzani mwepesi kwa kumpiga JESSE VARGAS mjini LAS VEGAS.

Licha ya maombi mengi ya kutaka kurudiana na FLOYD MAYWEATHER, bado hakuna dalili za wawili hao kurudiana tena ulingoni.
    

COMMENT AND SHARE...................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube