Liverpool wamepanga kumsafirisha kwa
ndege ya kibinafsi mshambuliaji Sadio Mane, kutoka michuano ya kuwania
kombe la taifa bingwa barani Afrika nchini Gabon, ili kumpa nafasi ya
kushiriki mechi na viongozi wa Ligi Chelsea.
Mane atasafirishwa
baada ya Senegal kupoteza tena kwa mabao 5-4 ilipocheza na Cameroon
wakai wa mechi za robo fainali siku ya Jumamosi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Southampton mwenye umri wa miaka 24, alipoteza penalti muhimu wakati wa mechi hiyo.
Liverpool imeshinda mechi moja tu tangu aondoke kushirika mechi za kimataifa.
Walishindwa
na klabu ya zamani ya Mane kwenye kombe la EFL siku ya Jumatano na
kuondolewa kutoka kombe la FA walipocheza na Wolves.
COMMENT AND SHARE...................!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!