LADY Jay Dee, Alikiba na Baraka The Prince Waongoza Katika Nyimbo Zilizodownloadiwa zaidi Mkito:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mtandao wa kuuza nyimbo za muziki nchini Mkito.Com, umetoa list ya
nyimbo 5 za wasanii wa muziki nchini ambazo zimepakuliwa zaidi kupitia
mtandao huo ndani ya mwaka 2016.
Mtandao huo umepost hiyo picha (hapo juu) kupitia twitter na kuandika:
Tunapofunga mwaka, hizi ni baadhi ya ngoma zilizowavutia wengi kwa mwaka
2016. Hebu tutajie zako tano ulizozikubali zaidi mwaka huu.
Kwa upande menaja na Alikiba na Barakah The Prince, Seven Mosha baada ya kuona taarifa hiyo ametweet:
Most downloaded @JideJaydee @BarakaThePrince @OfficialAliKiba
Mtandao huo kwa sasa ni mmoja kati ya mitandao mikubwa nchini Tanzania ambayo inategemewa na wasanii
COMMENT AND SHARE....................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!