Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie
wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa
nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
COMMENT AND SHARE...................!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!