Waendesha mashitaka nchini KOREA KUSINI wanamshikilia kiongozi wa
makampuni ya SAMSUNG kwa tuhuma za kuhusika na ubadhirifu fedha za
serikali kupitia kwa rafiki wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo PARK
GEUN-HYE.
Wachunguzi hao walimhoji JAY Y LEE kwa saa 22 wiki iliyopita baada ya kufahamika kwamba kampuni hiyo ina kashfa ya rushwa.
Waandesha mashitaka hao wanamtuhuma LEE kwa kumlipa CHOI SOON SIL
rafiki wa rais wa KOREA KUSINI, PARK dolla Bilioni 43 katika mazingira
ya rushwa.
COMMENT AND SHARE...................!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!