Habarini Wadau,
Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina.
Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine…waliosoma Law
wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao wana mtoto au
watoto ila hawana waume.
Sababu kubwa ni hizi:
◆ Hakuna Mwanaume anayetaka kuletewa vifungu vya sheria kwenye nyumba yake na ujinga ujinga wa haki sawa.
◆ Wanawake wa hivyo wanakuwaga na ukatili na kujiamini kupita kiasi, nafikiri ni kutokana na hukumu wanazosoma
◆ Wakati huo huo waalimu ndio wanaoongoza kwa kuolewa na kuishi vizuri ndoani.
Nawasilisha.
Azarel
COMMENT AND SHARE.........................!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!