Bingwa mtetezi Novak Djokovic
amewashangaza wengi baada ya kuchapwa na mchezaji namba 117 duniani
Denis Istomin raia wa Uzbektan katika michuano ya Australian Open.
Mshindi huyo mara sita wa michuano hiyo ameshindwa kwa seti 7-6 5-7 7-6 6-4.
Katika matokeo mchezaji Andy Murray amesalia katika nafasi ya kwanza kushinda tuzo ya Australian open huko mjini Melbourne.
Briton
Murray, ambaye amefikia katika nafasi ya tatu amepoteza katika fainali
tano kwa miaka saba iliyopita mjini Melbourne, nne kati ya hizi kwa
Djokovic.
Hii ni mara ya pili pekee katika miaka saba ambapo
Djokovic kupoteza ushindi kwa mchezaji aliyeko kati ya wachezaji 100
kushindwa kwake na Juan Martin del Potro aliyekuwa katika nafasi ya 145
katika mashindano ya olimpiki yaliyofanyika huko Rio mwaka 2016.
Uzbek Istomin atapambana na mhispania Pablo Carreno Busta, aliyemshinda Muingereza Kyle Edmund ifikapo Alhamisi.
COMMENT AND SHARE.............!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!