DIAMOND Atikisa Australia....Wimbo Wake Wavunja Rekodi ya Mwaka:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake.
Siku moja baada ya DW kuitaja ngoma aliyoshirikishwa na marehemu Papa
Wemba, Chacun Pour Soi kuwa imefunga mwaka kwa kuwa namba moja katika
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Kidogoaliyowashirikisha P-Square nayo
imefunga mwaka kwa kishindo.
Wimbo huo umekuwa wimbo wa mwaka katika kituo cha redio cha Radio Afro
cha Australia, baada ya kuzishinda nyimbo za magwiji wengi wa Afrika
wakiwemo Wizkid, Davido, Tiwa Savage na wengine kibao.
Diamond ameshukuru kwa nafasi hiyo kwa kusema, “Thank you AUSTRALIA
thank you RADIO AFRO…. KIDOGO ft P -SQUARE Song of the Year #RADIOAFRO.
COMMENT AND SHARE..........................!!!!!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!