
Ligi ya kulipwa ya mpira wa kikapu ya NBA nchini MAREKANI mabingwa
watetezi CLEVELAND CAVALIERS wameibuka na ushindi wa alama 116 dhidi ya
108 za BROOKLYN NETS
Ligi ya kulipwa ya mpira wa kikapu ya NBA nchini MAREKANI mabingwa
watetezi CLEVELAND CAVALIERS wameibuka na ushindi wa alama 116 dhidi ya
108 za BROOKLYN NETS katika mchezo ambao nyota wa CLEVELAND LEBRON JAMES
alifunga alama 36 peke yake.
KYRIE IRVING nae akaipa chagizo la ushindi CLEVELEND kwa kufunga alama 32 katika ushindi huo.
Katika matokeo mengine HOUSTON ROCKETS wamewanyuka ORLANDO
MAGIC alama 100 kwa 93 huku mchezaji wao nyota JAMES HARDEN akifunga
alama 14 na kutoa pasi 10 za ushindi.
Nao MEMPHIS GRIZZLIES wamewatoa nishai GOLDEN STATE WARRIORS na
kuwapa kipigo cha alama 128 kwa 119, MIAMI HEAT wakinyukwa alama 127
kwa 100 dhidi ya LOS ANGELES LAKERS na BOSTON CELTICS wakishinda alama
110 kwa 106 za PHILADELPHIA.
COMMENT AND SHARE.................!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!