Ronaldo, 31, amewapiku Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann
wa Atletico Madrid katika sherehe zilizofanyika mjini Zurich, Uswisi.
Ronaldo
pia alishinda tuzo ya Ballon d'Or mwezi Disemba mwaka jana, kufuatia
mafanikio yake katika Klabu Bingwa Ulaya akiwa na Real Madrid, na pia
kushinda Euro 2016 akiwa na timu ya taifa ya Ureno.
Meneja wa
Leicester City Claudio Ranieri ametajwa kuwa kocha bora wa mwaka kwa
upande wa wanaume, huku Silvia Neid, meneja wa zamani wa Ujerumani,
akishinda kwa upande wa wanawake.
COMMENT AND SHARE.............!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!