BREAKING News ; Boniface Mkwasa sio kocha tena wa Taifa Stars:;
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres
Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.
Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia
ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa
kuandika,“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia
mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa
Stars.”.
Ikumbukwe kamba kocha huyu alichukua mikoba kutoka kwa kocha Mart Nooij
raia wa Uholanzi ambae alifundisha tangu mwaka 2014 hadi 2015.
Endelea kufatilia shaffih dauda website utajua zaidi kuhusu kusitishwa
kwa mkataba huu na sababu zake kama zitawekwa wazi na moja kati ya pande
hizi mbili
COMMENT AND SHARE......................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!