Benki ya BARCLAYS imezindua mpango wa kupata wajasiriamali wenye
michanganuo bora ya biashara kutoka vyuo vikuu nchini unajulikana kama
University Enterpreneurship challenge ambao watapelekwa ujerumani
kushindanishwa
Mratibu wa mpango huo VICTOR MNYAWAMI amesema wanachuo hao watatuma
maombi yao kwa mtandao ambapo baada ya mchujo washindi wataingia katika
mashindano mengine nchini UJERUMANI ifikapo mwezi Mei mwaka huu.
Naye msemaji wa benki ya BARCLAYS HELLEN SIRIA amesema kwa kudhamini
shindano hilo benki yao inahamasisha ubunifu wa wanafunzi wa vyuo ili
wakipatiwa mitaji waweze kuwa wajasiriamali wanaojiajiri wenyewe.
COMMENT AND SHARE......................!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!