Alexis Sanchez aliifungia Arsenal
bao la pili dakika ya 98 kwa njia ya Penalti na kuiweza kuwashinda
Burnley mabao 2-1 nyumbani mwa Arsenal huko Emirates.
Baada ya
meneja wa Arsenal Arsene Wenger kutimuliwa uwanjani kwa kulalamikia
uamuzi wa refa, kosa la Ben Mee la kumpiga kiatu Laurent Koscielny,
lilisabaisha Burnley kuadhibiwa na Arsenal kupewa Penalti.
Arsenal
walikuwa wameitawala mechi hadi pale Granit Xhaka alipotimuliwa baada
ya kumchezea visivyo Steven Defour, hali iliyosababisha Burnley
kunufaika.
Ushindi wa mara tano wa Arsenal katika uga wao wa
Emirates, unawapandisha jedwali juu na Liverpool na Tottenham, ambao
wote walipoteza pointi siku ya Jumamosi na kupunguza mwaya kati yao na
Chelsea hadi pointi tano.
COMMENT AND SHARE.......................!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!